Kakuumba Mola umeumbika Wazazi wetu wameunganika Kuwa wangu nimebahatika Ukienda mbali watanizika We upepo baharini Manukato mwilini Nikuache kwanini? Bila wewe n'na nini Wanywe dawa Quinin Beb sikuachi niamini Yaani wewe na mimi Uko ndani moyoni |Penzi| #shairi #love