Aliniambia anaenda kazini Kumbe si kazi ni kaskazini Huko huko akawa anazini Sikujua ni mbona, bila idhini Nikabaki kuumwa na maini Nililenga ya wahenga hata waadini Hadi akaniletea mandume kisimani Kwa kweli si mtu haswa, ni hayawani Wa kunikodolea macho, bila miwani |Hayawani| #ushairi #love