Nojoto: Largest Storytelling Platform

Aliniambia anaenda kazini Kumbe si kazi ni kaskazi

Aliniambia anaenda kazini
Kumbe si kazi ni kaskazini
Huko huko akawa anazini
Sikujua ni mbona, bila idhini
Nikabaki kuumwa na maini
Nililenga ya wahenga hata waadini
Hadi akaniletea mandume kisimani
Kwa kweli si mtu haswa, ni hayawani
Wa kunikodolea macho, bila miwani

|Hayawani|
 #ushairi 
#love
Aliniambia anaenda kazini
Kumbe si kazi ni kaskazini
Huko huko akawa anazini
Sikujua ni mbona, bila idhini
Nikabaki kuumwa na maini
Nililenga ya wahenga hata waadini
Hadi akaniletea mandume kisimani
Kwa kweli si mtu haswa, ni hayawani
Wa kunikodolea macho, bila miwani

|Hayawani|
 #ushairi 
#love
adierpalmer4947

Adier Palmer

New Creator