Nojoto: Largest Storytelling Platform

Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi Tena ni matamu, wa

Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi
Tena ni matamu, wala si mabanzi
Hayachagui machali wala mamanzi
Ni ya wote werevu kwa madwanzi
Na daima huleta amani si majonzi
Utamu wa mapenzi unazidi wa ndizi
Tena ni matamu zaidi ya mchuzi
Yanashinda hata mchuzi wa nazi
Yamewafanya masela wakachizi
Hata tena wakavulia nzuri hirizi
Kwa kuwa yanahitaji tuu uwazi
Wala si purukushani za kiswazi
Mapenzi hayataki watu wa tizi
Tena hayana utaalam ati ujuzi
Mapenzi yalianza kitambo si juzi
Niliwahi pendwa nikaimba tenzi
Tulipeana la kweli penzi zile enzi

|Mapenzi|
 #swahiliquotes 
#penzi 
#love 
#shairi
Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi
Tena ni matamu, wala si mabanzi
Hayachagui machali wala mamanzi
Ni ya wote werevu kwa madwanzi
Na daima huleta amani si majonzi
Utamu wa mapenzi unazidi wa ndizi
Tena ni matamu zaidi ya mchuzi
Yanashinda hata mchuzi wa nazi
Yamewafanya masela wakachizi
Hata tena wakavulia nzuri hirizi
Kwa kuwa yanahitaji tuu uwazi
Wala si purukushani za kiswazi
Mapenzi hayataki watu wa tizi
Tena hayana utaalam ati ujuzi
Mapenzi yalianza kitambo si juzi
Niliwahi pendwa nikaimba tenzi
Tulipeana la kweli penzi zile enzi

|Mapenzi|
 #swahiliquotes 
#penzi 
#love 
#shairi
adierpalmer4947

Adier Palmer

New Creator