Kama kuna dini tamu Basi ni hii ya Kiislamu Kwa sababu ya wingi wa nidhamu Na sifa sizo kiduchu zaidi ya Amu Muulizeni hata wangu Binamu Naapa kwa mwili na hata Damu Na si upendo tuu, ni yangu Hamu Na kwa imani yangu, si ya Imamu Imeenea kote Mecca hadi Bumamu Ibada zetu, zote zafuata hata zamu Tena mabikra tunao wazuri, watamu Na akili, wanazo njema na timamu Utawakuta Kwa Babu hadi Watamu Na miili ya kuvutia, michongo sanamu Daima huwakosi, wanakuja kwa awamu Warembo kweli, hawa wana wa binadamu Na wanaushirikiano ati, wachezaji wa timu Na si timu tuu, ya kipekee yani timu adimu Na upekee ni wa baba yao, wa jina Adamu |Kiislamu| #religion #islam #motivation #lovwithmaquotes #love