Nojoto: Largest Storytelling Platform

Kila uchao nimeishia tu kuwaza Kwa mengi na machac

Kila uchao nimeishia tu kuwaza
Kwa mengi na machache najikwaza
Japo ni hali ngumu moyo unakataza
Lakini bado naamini penzi umelijaza
Na ndio maana kila uchao najikaza
Labda ipo siku ambayo utaniliwaza
Si ati uje na makavu ya kunicharaza
Najua unataka softlife, nitakutandaza
Na hapa kwangu lazima nitakupangaza
Kwa hali zote, yaani giza kwa mwangaza
Kwa shida na raha, mifukoyo nitajaza
Kwa nyama na mifupa, moyo utapakaza
Kwa mengi na machache, kifuani nitakulaza
Kwa mafupi na marefu, maisha tayasongeza
Maana wewe ndio wangu, lazima nitajikaza.

|C-Cece|

 Maisha pamoja ni shwari
Umenifunza kuwa hodari
Kila unapotaka niwe hatari
Kila uchao nimeishia tu kuwaza
Kwa mengi na machache najikwaza
Japo ni hali ngumu moyo unakataza
Lakini bado naamini penzi umelijaza
Na ndio maana kila uchao najikaza
Labda ipo siku ambayo utaniliwaza
Si ati uje na makavu ya kunicharaza
Najua unataka softlife, nitakutandaza
Na hapa kwangu lazima nitakupangaza
Kwa hali zote, yaani giza kwa mwangaza
Kwa shida na raha, mifukoyo nitajaza
Kwa nyama na mifupa, moyo utapakaza
Kwa mengi na machache, kifuani nitakulaza
Kwa mafupi na marefu, maisha tayasongeza
Maana wewe ndio wangu, lazima nitajikaza.

|C-Cece|

 Maisha pamoja ni shwari
Umenifunza kuwa hodari
Kila unapotaka niwe hatari
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator