Nojoto: Largest Storytelling Platform

Urembo wako wa mbele, selfi hazifichiki Na kizingi

Urembo wako wa mbele, selfi hazifichiki
Na kizingiti kwa nyuma, mwenzio hakupitiki
Njoo uwe wa kwangu, huu moyo uumiliki
Tubembee tukitembea, hadi sokoni Maliki
Hata nyumba takujengea, iwe yako uimiliki
Tupendeze walotulea, wasiseme tuu ni kiki
Nikufunze nikikupea, uwe wangu 'kusadiki
Mbegu ya penzi ikimea, kwangu uwe rafiki
Moyo wako taujengea, ua ambalo halipitiki
Na zawadi kuletea, hata kama hazifurahiki
Ewe nmekupendelea, ka Chelsea na pikipiki
Kwako nikajitolea, kuwa kicheko hakifichiki
Ni kweli nakumezea, kwa mabusu na makiki
Penzi lako limekolea, kama sukari limetiki
Siko radhi kukchezea, kwako sitoki sibanduki
Nataka kukupea, risasi zangu na bunduki

|Mahabuba|
 Ewe wangu Waridi, leo tena kuna baridi. 
Si kidogo inazidi, na itanimaliza ikibidi...

#shairi 
Furahia

adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator