Shoot your shot bana niache kudanga Juu nikiendelea hivi mtakuja tuu matanga Si ati nitajimaliza na hizi mashanga Ni tuu sitaki kuendelea ku*manga Na pia nithank God juu amenijenga Since zile days walikuwa wamenitenga Na sahi wakiniona wanabaki tu kuhema It feels so true kujua God ni mwema Kwa uhai daily, kunipa na siku njema Leo acha nijisifie, ingawa mi si mgema Sahi niko na boma, ghetto nilihama All these pia ni juu ya sala za mama Akinilea na kunitunza kama ndama Keep your faith high, si siri si njama Ndo ilinitoa 'ndani' nikiwa nimezama |Sala-za-mama| #pray Your mother's prayers