Nojoto: Largest Storytelling Platform

Huyu wa sasa tumejuana tangu utotoni Ni yule tu ni

Huyu wa sasa tumejuana tangu utotoni
Ni yule tu niliyekuwa nikimuota ndotoni
Na sasa amenigandia kisumaku moyoni
Nashangazwa na anavyonifikisha motoni
Mpaka najihisi mahututi kufia peponi
Napenda anavyoupeleka ulimi shingoni 
Huku kanidakia mzima mzima mikononi 
Hataki nisonge, anataka abaki juu kiunoni
Ndio anionyeshe aliyofunzwa tu unyagoni
Anasema haondoki hadi niyateme shimoni
Na kwamba ana njaa, ya kujitia mdomoni 
Anavyonipeleka na rada nahisi niko chuoni
Polepole ninatanda hadi namfia machoni
Tena kama randa namsugua hadi kooni
Namkata kama panga, ajifichia chooni
Anafurahia mpaka anawaita nyote njooni
Ila anapojigundua mbele yake hawaoni
Asema aniongopea, heri arudi sokoni

|Ndoto- ni|
     #shairi
Huyu wa sasa tumejuana tangu utotoni
Ni yule tu niliyekuwa nikimuota ndotoni
Na sasa amenigandia kisumaku moyoni
Nashangazwa na anavyonifikisha motoni
Mpaka najihisi mahututi kufia peponi
Napenda anavyoupeleka ulimi shingoni 
Huku kanidakia mzima mzima mikononi 
Hataki nisonge, anataka abaki juu kiunoni
Ndio anionyeshe aliyofunzwa tu unyagoni
Anasema haondoki hadi niyateme shimoni
Na kwamba ana njaa, ya kujitia mdomoni 
Anavyonipeleka na rada nahisi niko chuoni
Polepole ninatanda hadi namfia machoni
Tena kama randa namsugua hadi kooni
Namkata kama panga, ajifichia chooni
Anafurahia mpaka anawaita nyote njooni
Ila anapojigundua mbele yake hawaoni
Asema aniongopea, heri arudi sokoni

|Ndoto- ni|
     #shairi
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator