Nojoto: Largest Storytelling Platform

Hapa mambo yanasonga lembe Teke teke kama Kimpembe

Hapa mambo yanasonga lembe
Teke teke kama Kimpembe
Nimefocus kwa target ka pembe
Nikidivide ma haters kwa wembe
Wanaonibonga na kunisema vijembe
Ni kuwaacha kwa pills ma tembe
Utanisho wot na huna hata jembe
Time umebonda face kimaembe
Ulitaka kuja but nikakusho zae
Sahi unanililia ati unizalie
Na najua umewekwa na mzae
Na si mbaya by the way
Do me a favour, say hae
Mimi natoka, I'm on my way
Hope unanisikia acha hizo hey
My issues sahi ziko at bay
Ata na hii econ hufiki bei
So usipange siku, not a day
We're done tangu last May
Kuna days ulikuwa my ray
But sahi... Nashangaa cheeei
I knew hii love haikuwa BLIND
Ulikuwa tuu umenishika mind
Ukajifanya vile uko nice & kind
Kumbe you had your 'behind'
Nicely on me bana singe-jifind 

|Done|
 Anima
Stories
Hapa mambo yanasonga lembe
Teke teke kama Kimpembe
Nimefocus kwa target ka pembe
Nikidivide ma haters kwa wembe
Wanaonibonga na kunisema vijembe
Ni kuwaacha kwa pills ma tembe
Utanisho wot na huna hata jembe
Time umebonda face kimaembe
Ulitaka kuja but nikakusho zae
Sahi unanililia ati unizalie
Na najua umewekwa na mzae
Na si mbaya by the way
Do me a favour, say hae
Mimi natoka, I'm on my way
Hope unanisikia acha hizo hey
My issues sahi ziko at bay
Ata na hii econ hufiki bei
So usipange siku, not a day
We're done tangu last May
Kuna days ulikuwa my ray
But sahi... Nashangaa cheeei
I knew hii love haikuwa BLIND
Ulikuwa tuu umenishika mind
Ukajifanya vile uko nice & kind
Kumbe you had your 'behind'
Nicely on me bana singe-jifind 

|Done|
 Anima
Stories
adierpalmer4947

Adier Palmer

New Creator