Nojoto: Largest Storytelling Platform

Ati akikuomba tuu, unachangamka na kumpatia Na juu

Ati akikuomba tuu, unachangamka na kumpatia
Na juu hutaki kum'lose, unaamua kujiloosen tuu
Wewe, ashaikupatia hata ukimuomba, jijibu tuu
Na imagine si ati hana, huyu mtu wako ni mgumu
Jipende tuu kidogo aki, kidogo tuu nakuomba.

Unajua kuna yule hupewa hata bila kumuomba
We nae unashusha points kwa kujipendekeza
Ukweli ni ukishamtumia, ni bff huzitoa, akimtoa
Na aki ndio Fuliza inakupuliza, utafulizwa wewe

Sikatai unampenda, umembuyia data na chats
Lakini sasa mbona anakugreytick akiwa online
Ukiwa kwake uko flexible, but kwenyu hauko
Usiku kwa mchana mko macho, na kanisani?

|Jipende|
 #shairi 
#love 
#fakepeople

adierpalmer4947

Adier Palmer

New Creator