Kwa wangu Amanda Ukikumbuka kupenda Jua sikutaka kuenda Japokuwa nilikuenzi kichanda Kwangu uliniona wa kitanda Kunichuma na kunila matunda Ukawa bingwa eti kamanda Na kujipa majina Wakanda Hadi kaniacha kwa sanda Hukujua ningelishwa kwa pamba Baada ya kunimada kwa kamba Na damu ukanywa na kulamba Huko uliko watamba? Kwa simu kujaza manamba? Au ndio kazi manamba? Kuwateka na beba manamba Kisha kuwala kimamba |Sauti ya kamba| na ukitaka kuenda Jua tabia sikupenda...