Nojoto: Largest Storytelling Platform

Kakuumba Mola umeumbika Wazazi wetu wameunganika K

Kakuumba Mola umeumbika
Wazazi wetu wameunganika
Kuwa wangu nimebahatika
Ukienda mbali watanizika

We upepo baharini
Manukato mwilini
Nikuache kwanini?
Bila wewe n'na nini

Wanywe dawa Quinin
Beb sikuachi niamini
Yaani wewe na mimi
Uko ndani moyoni

|Penzi|
 #shairi 
#love
Kakuumba Mola umeumbika
Wazazi wetu wameunganika
Kuwa wangu nimebahatika
Ukienda mbali watanizika

We upepo baharini
Manukato mwilini
Nikuache kwanini?
Bila wewe n'na nini

Wanywe dawa Quinin
Beb sikuachi niamini
Yaani wewe na mimi
Uko ndani moyoni

|Penzi|
 #shairi 
#love
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator