Nojoto: Largest Storytelling Platform

Hey Miss Toronto Acha tu nikuite wa ndoto Kwa uliv

Hey Miss Toronto
Acha tu nikuite wa ndoto
Kwa ulivo'niwasha moto
Nilipokukwachua ki lotto
Nikajua nimekuwin ki Porto 
Nilivokupigania ki-willy kiRuto
Sikujua ki-Willy kilikuwa kiwiliwili 
Yaani kama kiwiliwili cha Willy
Nikakosa mpaka nguvu kwa mwili
Nikabaki tu kuona mbilimbili
Na kuzubaazubaa kitumbili
Huh kukosa option mbilimbili
Sikujua lotto ngekuwa ndoto
Na moyo kuwa hard kokoto
Kwa kujiumiza pain kiroboto
Maisha yakasokonya misokoto
Sikujua sijakujua Miss Koto
Na hizo dreams zako za Tokyo

|From Lotto to Ndoto|

 From Lotto to Ndoto
Hey Miss Toronto
Acha tu nikuite wa ndoto
Kwa ulivo'niwasha moto
Nilipokukwachua ki lotto
Nikajua nimekuwin ki Porto 
Nilivokupigania ki-willy kiRuto
Sikujua ki-Willy kilikuwa kiwiliwili 
Yaani kama kiwiliwili cha Willy
Nikakosa mpaka nguvu kwa mwili
Nikabaki tu kuona mbilimbili
Na kuzubaazubaa kitumbili
Huh kukosa option mbilimbili
Sikujua lotto ngekuwa ndoto
Na moyo kuwa hard kokoto
Kwa kujiumiza pain kiroboto
Maisha yakasokonya misokoto
Sikujua sijakujua Miss Koto
Na hizo dreams zako za Tokyo

|From Lotto to Ndoto|

 From Lotto to Ndoto
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator