Nojoto: Largest Storytelling Platform

Kwa wangu Amanda Ukikumbuka kupenda Jua sikutaka k

Kwa wangu Amanda
Ukikumbuka kupenda
Jua sikutaka kuenda
Japokuwa nilikuenzi kichanda
Kwangu uliniona wa kitanda
Kunichuma na kunila matunda
Ukawa bingwa eti kamanda
Na kujipa majina Wakanda
Hadi kaniacha kwa sanda
Hukujua ningelishwa kwa pamba
Baada ya kunimada kwa kamba
Na damu ukanywa na kulamba
Huko uliko watamba?
Kwa simu kujaza manamba?
Au ndio kazi manamba?
Kuwateka na beba manamba
Kisha kuwala kimamba

|Sauti ya kamba|
 na ukitaka kuenda
Jua tabia sikupenda...
Kwa wangu Amanda
Ukikumbuka kupenda
Jua sikutaka kuenda
Japokuwa nilikuenzi kichanda
Kwangu uliniona wa kitanda
Kunichuma na kunila matunda
Ukawa bingwa eti kamanda
Na kujipa majina Wakanda
Hadi kaniacha kwa sanda
Hukujua ningelishwa kwa pamba
Baada ya kunimada kwa kamba
Na damu ukanywa na kulamba
Huko uliko watamba?
Kwa simu kujaza manamba?
Au ndio kazi manamba?
Kuwateka na beba manamba
Kisha kuwala kimamba

|Sauti ya kamba|
 na ukitaka kuenda
Jua tabia sikupenda...
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator