Nojoto: Largest Storytelling Platform

Shoot your shot bana niache kudanga Juu nikiendele

Shoot your shot bana niache kudanga
Juu nikiendelea hivi mtakuja tuu matanga
Si ati nitajimaliza na hizi mashanga
Ni tuu sitaki kuendelea ku*manga
Na pia nithank God juu amenijenga
Since zile days walikuwa wamenitenga
Na sahi wakiniona wanabaki tu kuhema
It feels so true kujua God ni mwema
Kwa uhai daily, kunipa na siku njema
Leo acha nijisifie, ingawa mi si mgema
Sahi niko na boma, ghetto nilihama
All these pia ni juu ya sala za mama
Akinilea na kunitunza kama ndama
Keep your faith high, si siri si njama
Ndo   ilinitoa 'ndani' nikiwa nimezama

|Sala-za-mama|
 #pray 
Your mother's prayers
Shoot your shot bana niache kudanga
Juu nikiendelea hivi mtakuja tuu matanga
Si ati nitajimaliza na hizi mashanga
Ni tuu sitaki kuendelea ku*manga
Na pia nithank God juu amenijenga
Since zile days walikuwa wamenitenga
Na sahi wakiniona wanabaki tu kuhema
It feels so true kujua God ni mwema
Kwa uhai daily, kunipa na siku njema
Leo acha nijisifie, ingawa mi si mgema
Sahi niko na boma, ghetto nilihama
All these pia ni juu ya sala za mama
Akinilea na kunitunza kama ndama
Keep your faith high, si siri si njama
Ndo   ilinitoa 'ndani' nikiwa nimezama

|Sala-za-mama|
 #pray 
Your mother's prayers
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator