Nojoto: Largest Storytelling Platform

Nilianza kwa dua Nikachua na hatua Ya kutembea kwa

Nilianza kwa dua
Nikachua na hatua
Ya kutembea kwa jua
Kumbe mie sikujua
Ningepigwa na mvua
Nikiongea kwa jua...
Haya mambo mwajua
Huvutia ka' maua
Ila ni maovu yanaua
Yatakufanya kufua
Kisha kifuani utatua
Hata nguo utazivua
Ila utabaki ukizua
Uhasama ukiibua
Na hapo hutatatua
Hali yako ukishaijua
Hilo kaa ukijua

|Wayua|
 Ushauri kwa ushairi
Nilianza kwa dua
Nikachua na hatua
Ya kutembea kwa jua
Kumbe mie sikujua
Ningepigwa na mvua
Nikiongea kwa jua...
Haya mambo mwajua
Huvutia ka' maua
Ila ni maovu yanaua
Yatakufanya kufua
Kisha kifuani utatua
Hata nguo utazivua
Ila utabaki ukizua
Uhasama ukiibua
Na hapo hutatatua
Hali yako ukishaijua
Hilo kaa ukijua

|Wayua|
 Ushauri kwa ushairi
adierpalmer1110

Adier Palmer

New Creator

Ushauri kwa ushairi