Nojoto: Largest Storytelling Platform
ellynithoanderso8460
  • 12Stories
  • 22Followers
  • 52Love
    0Views

EllynithoAnderson

deeply writer

  • Popular
  • Latest
  • Video
85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

kuna watu wanalalamika mwaka unaisha hawajafanya chochote cha maana,ila wanasahau kujiuliza kwa mwaka mzima ni watu wangapi waliweza kuwasaidia walipokuwa na uhitaji?

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

ushindi wa kwanza unaupata pale tu ulipoamua kutokata tamaa

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua BMW X6. #Smile
85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Wewe unayekaribia kukata tamaa juu ya ndoto yako sababu ya umri nakuagiza angalia majina ya wachezaji wa Taifa stars utakutana na mtu anaitwa Juma Kaseja #dont giveup

#Dont giveup

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Wapo wanaomtukana Harmonize kwa kuondoka WCB wakati huo huo na wao wanatamani kuacha kazi maofisin na kujiajiri. 🤷

🤷

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Ishara moja wapo ya kujua nani unampenda kwa dhati,
angalia mtu unayefurai kuona anatumia vyako just a love

just a love

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Usikubali kuoa ama kuolewa na mtu usiyempenda kwa sababu ni raisi kumvumilia na kuwa tayari kumbadilisha unayempenda kwa dhati ila ni ngumu kuvumilia hata chembe za ulevi kwa usiyempenda marriage

marriage

85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

Imagination You are not to old complete your dream #Imagination
85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

FEEL FREE    FROM YOUR           
MEMORIES #Freedom
85b5ab7e245d5aa519976bd1f69e44cc

EllynithoAnderson

#Noise  NANI ALIWAMBIA HELA ZA WATERLEED ZINATOKAGA MAPEMA KIASI HIKO WASHENZI ACHENI NJAA #Noise
loader
Home
Explore
Events
Notification
Profile