Find the Latest Status about hadeed e chini stone from top creators only on Nojoto App. Also find trending photos & videos about, hadeed e chini stone.
Adier Palmer
Nimedungwa mkuki kooni Kwa hii balaa ya moyoni Penzi kuliweka rohoni Mwisho naambulia motoni Nikikufata fata sokoni Kumbe uko chomboni Unatiwa zigo shim_ni Yote hadi tumb_ni Mwenzenu aibu huoni Tabasamu mejawa usoni Mschew... Ila kama hizi hisi ni sisi Heri uwe chizi wa mizizi Ukipigwa mhini kwa ndizi Ukiwa mshindi kwa wizi Utaitwa mwizi wa penzi Ukiyafata magari ya Benz Ila utasema hapo huwezi Kwa kuwa kwake u mlezi Wasemavyo hizi ndio enzi Za kuitwa mwizi wa penzi |Penzi| Penzi la chini Kama