Nojoto: Largest Storytelling Platform

Best swahiliquotes Shayari, Status, Quotes, Stories

Find the Best swahiliquotes Shayari, Status, Quotes from top creators only on Nojoto App. Also find trending photos & videos about swahili to english translate, swahili to english, swahili love poems, gawana meaning in swahili, mamuni meaning in swahili,

  • 2 Followers
  • 4 Stories

Adier Palmer

Chumba kilikuwa kimetulia
Hata ungepepesa kope tungeskia
Upepo wa baharini ulikuwa unavutia
Na ulileta mandhari niliyoshabikia
Marashi yake ya halua, mapuani yalinifikia
Na nilipenda alivyojilazia, nani angechukia
Basi ujumbe sikuchelea, mimi nikamtumia
Mara tuu akanijibia, ati anataka nimtumie mia
Hamsini hamsini sindio mia, sikutaka haramia
Na akaongezea eti, alinipenda mia penzi kwa mia
Alikuwa kajilaza kichali, huku macho kanikazia
Nina imani robo nne, ye' alikuwa kanizimia
Na moyo nikaulegeza, kwani bahati kanijia
Lijaliwelo kuwa halina uzuio, tena nikajiambia
Muda huu wote, hakujua tuu nilivyo mzimia...

|Naumia| #penzi 
#shairi 
#swahiliquotes 
#love 
#loveforever

Adier Palmer

Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi
Tena ni matamu, wala si mabanzi
Hayachagui machali wala mamanzi
Ni ya wote werevu kwa madwanzi
Na daima huleta amani si majonzi
Utamu wa mapenzi unazidi wa ndizi
Tena ni matamu zaidi ya mchuzi
Yanashinda hata mchuzi wa nazi
Yamewafanya masela wakachizi
Hata tena wakavulia nzuri hirizi
Kwa kuwa yanahitaji tuu uwazi
Wala si purukushani za kiswazi
Mapenzi hayataki watu wa tizi
Tena hayana utaalam ati ujuzi
Mapenzi yalianza kitambo si juzi
Niliwahi pendwa nikaimba tenzi
Tulipeana la kweli penzi zile enzi

|Mapenzi|
 #swahiliquotes 
#penzi 
#love 
#shairi

Adier Palmer

Chumba kilikuwa kimetulia
Hata ungepepesa kope tungeskia
Upepo wa baharini ulikuwa unavutia
Na ulileta mandhari niliyoshabikia
Marashi yake ya halua, mapuani yalinifikia
Na nilipenda alivyojilazia, nani angechukia
Basi ujumbe sikuchelea, mimi nikamtumia
Mara tuu akanijibia, ati anataka nimtumie mia
Hamsini hamsini sindio mia, sikutaka haramia
Na akaongezea eti, alinipenda mia penzi kwa mia
Alikuwa kajilaza kichali, huku macho kanikazia
Nina imani robo nne, ye' alikuwa kanizimia
Na moyo nikaulegeza, kwani bahati kanijia
Lijaliwelo kuwa halina uzuio, tena nikajiambia
Muda huu wote, hakujua tuu nilivyo mzimia...

|Naumia| #penzi 
#shairi 
#swahiliquotes 
#love 
#loveforever

Adier Palmer

Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi
Tena ni matamu, wala si mabanzi
Hayachagui machali wala mamanzi
Ni ya wote werevu kwa madwanzi
Na daima huleta amani si majonzi
Utamu wa mapenzi unazidi wa ndizi
Tena ni matamu zaidi ya mchuzi
Yanashinda hata mchuzi wa nazi
Yamewafanya masela wakachizi
Hata tena wakavulia nzuri hirizi
Kwa kuwa yanahitaji tuu uwazi
Wala si purukushani za kiswazi
Mapenzi hayataki watu wa tizi
Tena hayana utaalam ati ujuzi
Mapenzi yalianza kitambo si juzi
Niliwahi pendwa nikaimba tenzi
Tulipeana la kweli penzi zile enzi

|Mapenzi|
 #swahiliquotes 
#penzi 
#love 
#shairi


About Nojoto   |   Team Nojoto   |   Contact Us
Creator Monetization   |   Creator Academy   |  Get Famous & Awards   |   Leaderboard
Terms & Conditions  |  Privacy Policy   |  Purchase & Payment Policy   |  Guidelines   |  DMCA Policy   |  Directory   |  Bug Bounty Program
© NJT Network Private Limited

Follow us on social media:

For Best Experience, Download Nojoto

Home
Explore
Events
Notification
Profile