Nojoto: Largest Storytelling Platform

Best ushairi Shayari, Status, Quotes, Stories

Find the Best ushairi Shayari, Status, Quotes from top creators only on Nojoto App. Also find trending photos & videos abouttailoring with usha 260, usha rama college of engineering and technology, pt usha information in hindi, pt usha in hindi, pt usha in hindi 1600,

  • 2 Followers
  • 6 Stories

Adier Palmer

#ushairi love

read more
Aliniambia anaenda kazini
Kumbe si kazi ni kaskazini
Huko huko akawa anazini
Sikujua ni mbona, bila idhini
Nikabaki kuumwa na maini
Nililenga ya wahenga hata waadini
Hadi akaniletea mandume kisimani
Kwa kweli si mtu haswa, ni hayawani
Wa kunikodolea macho, bila miwani

|Hayawani|
 #ushairi 
#love

Adier Palmer

#ushairi life

read more
Ijapokuwa ni vazi, wanawake hawavai vilemba
Na hata kama inapendeza, bado hawavai kanzu
Hata kunao wengi wasopenda chupi za bambino
Nimezaliwa kikamilifu, si nusu kichotara tena ehe
Na kama kuku, napenda kula wa afya si mangisi
Niliwahi penda vidimu, ila uchachu wake uchungu
Na kila uchungu na tamule na kila tamule, tamu
Ila mhibu angu, usijigeuze chano watu watakufulia
Utamaisi fika simbuko haisimbiki ila kwa msuko
Ifanye haramu ya mchwa kuwa bidii yako tena
Ili usiishie kuomba kisiki kikukwae upate sababu
Na usije kwangu bila haja, aghalabu utanikasirisha
Maisha hayana haki kwa wanyonge, wasiojiweza
Na tajiri hata na deni, hafai kudaiwa, mkumbushe tuu.

|Maisha|
 #ushairi 
#life

Adier Palmer

Beb leo nipe tuu kama umekaza
Nipe yote tena juu naona umejaza
Usitake simama, juu mi nitakulaza
Na venye we hutaste beb, sitapunguza
Imekuwa some time now sijakuguza
Hata nimerelax tena kwa kkuchunguza
We ni wa safe days, nimekuchunguza
Although you're thick, taste sitakujuza
Nitakugonga kama nimekutandaza
Beb, mdogo mdogo tuu nita*ngiza
Nd'o isizame deep sana ukisisitiza
Juu we ni wangu, iku* sitaunguza
Nataka ibaki siri yetu, sije tangaza
Juu hii ndo mechi ya kukucharaza
But ukilemewa pia, tangazia baraza
Nd'o wote wanijue vile mi si dwanzi
Warazi wote manze, hata na wakazi
Washtuke tuu, midomo ibaki wazi
Juu kwangu we si job, we si kazi
Na iwe real story, si mambo ya majazi
Nadai nikudi*hi beb, kama maandazi
Na venye niko ready, bila maandalizi

|Calboose|
 #ushairi 
#dirtymind

Follow us on social media:

For Best Experience, Download Nojoto

Home
Explore
Events
Notification
Profile